Saturday, September 4, 2010

MMASAI NA DAWA YAKE...



Mwenyewe alikuwa akiinadi anaiita KIBOKO YA PAULINA ipo kama karoti fulani,anasema unakula kimoja kinatosha sana huhitaji nyingine.Maalum kwa wanaume tu hii unatafuna tu.

No comments:

Post a Comment